ISO 9001:2015 Certified
TAARIFA KWA UMMA
13 days ago
Source : TCAA

TAARIFA KWA UMMA

Ndugu KELVIN ERICK MUHANUKA
Tunapenda kuutaarifu umma kwamba mtajwa ambaye
picha yake inaonekana hapo juu, si Mtumishi wa
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) kuanzia
Agosti 10,2020.
Mamlaka haitahusika na lolote atakalofanya kwa niaba ya Taasisi.

Imetolewa na
Mkurugenzi Mkuu
 Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania